Mto Nikonga unapatikana kaskazini magharibi mwa Tanzania.
Maji yake yanaishia katika mto Kongo na hatimaye katika Bahari ya Atlantiki.
Developed by Nelliwinne