Mto Pibor unapatikana mashariki mwa Sudan Kusini, mpakani mwa Ethiopia.
Unaungana na mto Baro kuunda mto Sobat, ambao maji yake yanaingia katika Nile Nyeupe.
Developed by Nelliwinne