Mto Ruvuvu

Mto Ruvuvu (kushoto) ukiungana na mto Nyabarongo (kulia).

Mto Ruvuvu (pia Ruvubu au Rurubu) ni mto ambao unaanzia nchini Burundi na kuishia Tanzania ambapo unaungana na mto Nyabarongo kutoka Rwanda kuunda mto Kagera ambao unaishia katika Ziwa Viktoria.

2°23′23″S 30°46′52″E / 2.38972°S 30.78111°E / -2.38972; 30.78111


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne