Chanzo | katika mbuga wa Serengeti |
Urefu | 1680 |
Kimo cha chanzo | 1135 m |
Tawimito upande wa kulia | Duma |
Mkondo | 0- 208 |
Eneo la beseni | 10800 km² |
Miji mikubwa kando lake | Magu Mjini |
Mto Simiyu ni mto wa Tanzania kaskazini ambao maji yake yanaingia katika ziwa Viktoria na hatimaye yanaelekea Bahari ya Kati kupitia mto wa Naili. Mdomo wake uko karibu na Magu Mjini. Tawimto muhimu ni mto Duma.
Mkoa ambapo unapitia unapata jina kutoka kwake: Mkoa wa Simiyu.