Mto Sobat unapatikana kaskazini mashariki mwa Sudan Kusini.
Unaundwa na muungano wa mto Baro na mto Pibor, na maji yake yanaingia katika Nile Nyeupe.
Developed by Nelliwinne