Mtwapa ni mji wa Kenya kusini, katika kaunti ya Kilifi.
Wakati wa sensa ya mwaka 2009 ulikuwa na wakazi 48,625[1].
Developed by Nelliwinne