Muhanga

Muonekano wa Mji wa Muhanga
Muhanga

Muhanga (awali: Gitarama) ni mji ulioko kusini mwa Rwanda.

Mwaka 2005 ulikuwa na wakazi 87,613.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne