Mfalme Munjamyeong wa Goguryeo (? - 519, r. 491-519) alikuwa mtawala wa ishirini na moja wa taifa la Goguryeo, huko mbali kabisa kuelekea maeneo ya kaskazini mwa Falme Tatu za Korea.
Developed by Nelliwinne