Muziki wa country

Muziki wa country (pia huitwa: Country & Western) ni aina ya muziki ambao ulikuwa ukifurahiwa sana nchini Marekani kwa miaka mingi.

Muziki huu pia una wasikilizaji huko nchini Kanada, Uingereza na sehemu nyingine ulimwenguni.

Miongoni mwa wanamuziki maarufu wa muziki huo ni pamoja na Johnny Cash, Patsy Cline, the Judds, Dolly Parton, Glen Campbell, George Jones na Tammy Wynette, Kenny Rogers, Loretta Lynn, Randy Travis, Tanya Tucker, Willie Nelson, Reba McEntire, Garth Brooks na Toby Keith.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne