Muziki wa pop

Muziki wa pop au pop ni kifupi cha namna ya kuandika popular music au muziki mashuhuri. Muziki wa pop una hesabiwa kama mmoja kati ya muziki unaosikilizwa sana, kununuliwa sana, na kuchaguliwa sana katika matamasha maalumu. Staili za muziki wa pop ya miaka ya 2000 (leo hii) inajumlisha muzikiwa rock, hip hop, na pop punk.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne