Mwai Kibaki | |
Mwai Kibaki, 2012 | |
Muda wa Utawala 30 Desemba 2002 – 9 Aprili 2013 | |
Waziri Mkuu | Raila Odinga (2008–2013) |
---|---|
Makamu wa Rais | Michael Wamalwa Moody Awori Kalonzo Musyoka |
mtangulizi | Daniel Arap Moi |
aliyemfuata | Uhuru Kenyatta |
Wizara wa Afya
| |
Muda wa Utawala 1988 – 1991 | |
Rais | Daniel Arap Moi |
mtangulizi | Samuel Ole Tipis |
aliyemfuata | Joshua Mulanda Angatia |
Muda wa Utawala 14 Oktoba 1978 – 24 Machi 1988 | |
Rais | Daniel Arap Moi |
mtangulizi | Daniel Arap Moi |
aliyemfuata | Josephat Karanja |
Waziri wa Fedha
| |
Muda wa Utawala 1969 – 1982 | |
Rais | Daniel Arap Moi Jomo Kenyatta |
mtangulizi | James Gichuru |
aliyemfuata | Arthur Magugu |
Muda wa Utawala 1974 – 28 Machi 2013 | |
mtangulizi | King'ori Muhiukia |
aliyemfuata | Mary Wambui |
Muda wa Utawala 1963 – 1974 | |
mtangulizi | (mbunge wa kwanza) |
aliyemfuata | James Muriuki |
tarehe ya kuzaliwa | Gatuyaini, Kenya Colony | 15 Novemba 1931
tarehe ya kufa | 21 Aprili 2022 (umri 90) Nairobi, Kenya |
chama |
|
ndoa | Lucy Muthoni (m. 1961–2016) |
watoto | 4 |
signature |
Mwai Kibaki (1931-2022) alikuwa rais wa tatu wa Jamhuri ya Kenya kuanzia mwaka 2002 hadi 2013. Alitanguliwa na rais wa kwanza wa Kenya, Mzee Jomo Kenyatta na rais wa pili Daniel Arap Moi. Jina lake la kubatizwa ni Emilio Stanley .[1] Kibaki huhesabiwa kama mwanamageuzi wa kiuchumi. Katika kipindi chake cha pili cha uongozi, alianzisha wazo la maono 2030 ambayo ndani yake imeweka misingi imara ya kukuza uchumi wa Kenya. [2]
Ramani hiyo ya kiuchumi ilibeba mambo ishirini, ambayo ni LAPSSET Corridor Project,[3] Konza Technopolis (Konza City), Standard Gauge Railway (SGR), Nairobi Metropolitan Mass Rapid Transit System, Mombasa Port Development Project, Special Economic Zones (SEZs) - Mombasa, Lamu, Naivasha, Isiolo Resort City, Dongo Kundu Special Economic Zone, Kenya Petroleum Refinery Revitalization, Galana-Kulalu Food Security Project, Nairobi-Thika Superhighway, Expansion of Jomo Kenyatta International Airport (JKIA), Lake Turkana Wind Power Project, Kenya National Data Center, Kipeto Wind Energy Project, Olkaria Geothermal Power Plant Expansion, BRT (Bus Rapid Transit) System in Nairobi, Mombasa-Mariakani Highway Expansion, Kenya Slum Upgrading Programme (KENSUP) na Huduma Centres.[4]