Mwiba

Miba katika tawi la Rubus fruticosus.

Mwiba ni sehemu ndogo tena nyembamba ya mmea au ya mti ambayo ina ncha kali inayoweza kuchoma.

Pia ni mfupa wa samaki wenye ncha kali kwenye mapezi au uti wa mgongo.

Hatimaye ni kitu chochote chenye ncha kali nayochoma kwa mfano wa vile vilivyotajwa hapa juu.

Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mwiba kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne