Mzungu

Mwanamke mzungu.

Mzungu (wingi: wazungu) ni neno la Kiswahili kumtaja mtu anayeonekana ametoka Ulaya. Mara nyingi, mtu ambaye amechukua utamaduni wa Kiulaya huitwa "Mzungu" hata asipokuwa na nasaba ya Kiulaya. Kwa hivyo, "Mzungu" ina fasili mbalimabli.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne