Nakfa

Nakfa ni mji uliopo katika mkoa wa Bahari Nyekundu Kaskazini nchini Eritrea.

Mwaka 2010 idadi ya watu ilikadiriwa kuwa 20,222.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne