Namba changamano (kwa Kiingereza: en:complex number) ni aina ya namba ambazo zina sehemu mbili, ya kwanza ni namba halisi, na ya pili ni namba ya kufikirika tu.
Namba changamano zinatumika katika matawi yote ya hisabati, mengi ya fizikia, pia ya uhandisi, hasa wa kielektroni.