Nanami Chino

Nanami Chino (alizaliwa 20 Oktoba 1998) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambae anacheza kama kiungo wa klabu ya wanawake ya Albirex Niigata inayoshiriki ligi ya WE huko japani.[1]

  1. "Scoresheet" (PDF). weleague.jp. {{cite web}}: Cite has empty unknown parameter: |1= (help)

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne