Nash Aguas | |
---|---|
Amezaliwa | Aeign Zackrey Aguas 10 Oktoba 1998 Jiji la Cavite, Ufilipino |
Kazi yake | Mwigizaji Mwanasiasa |
Miaka ya kazi | 2004–hadi leo |
Nash Aguas (alizaliwa kama Aeign Zackrey Aguas tarehe 10 Oktoba 1998) ni mwigizaji wa filamu na televisheni kutoka nchini Ufilipino. Huenda akawa anafahamika zaidi kwa kucheza kama Peping katika mfululizo wa kipindi cha televisheni cha Kifilipino maarufu kama Gulong ng Palad, Kwa sasa anahudumu kama Diwani wa Jiji la Cavite tangu tarehe 30 Juni 2022.