Nchi takatifu

Nchi takatifu ni jina la heshima ya kidini linalopewa eneo maalumu huko Mashariki ya Kati kadiri ya imani ya Uyahudi, Ukristo na Uislamu.

Kanisa la Kaburi Takatifu ni kituo muhimu zaidi cha hija za Wakristo.

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne