| |||||
Kaulimbiu ya taifa: जननी जन्मभूमिष्च स्वर्गादपि गरीयसी (Sanskrit) "Mama na Taifa heri ya Mbinguni" | |||||
Wimbo wa taifa: Rastriya Gaan | |||||
Mji mkuu | Kathmandu | ||||
Mji mkubwa nchini | Kathmandu | ||||
Lugha rasmi | Kinepali | ||||
Serikali | Jahmuri ya shirikisho Bidhya Devi Bhandari (विद्या देवी भण्डारी) Pushpa Kamal Dahal | ||||
Maungano ya temi za Nepal {{{established_events}}} |
{{{established_dates}}} | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
147,516 km² (ya 93) 2.8 | ||||
Idadi ya watu - Julai 2022 kadirio - 2011 sensa - Msongamano wa watu |
30,666,598 (ya 49) 26,494,504 180/km² (ya 62) | ||||
Fedha | Rupia ya Nepal (NRs. )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
NPT (UTC+5:45) (haitumiki) (UTC+5:45) | ||||
Intaneti TLD | .np | ||||
Kodi ya simu | +977
- |
Nepal ni nchi ya Asia ya Kusini iliyoko kwenye milima ya Himalaya na inayopakana na Uhindi na China.
Jina rasmi ni jamhuri ya kidemokrasia ya shirikisho la Nepal.
Mlima Everest ambao ni mlima mrefu kuliko yote duniani uko Nepal.