Nestorius Timanywa (7 Mei 1937 – 28 Agosti 2018) alikuwa askofu wa Jimbo Katoliki la Bukoba.
Timanywa alizaliwa nchini Tanzania na alipewa daraja takatifu ya uaskofu mnamo 1974. Alihudumu kama askofu wa Jimbo Katoliki la Bukoba, Tanzania, kutoka mwaka 1974 hadi 2013.