Nezha Alaoui

Nezha Alaoui
Nezha Alaoui

Nezha Alaoui (alizaliwa Rabat, 1982) ni mjasiriamali aliyezaliwa Moroko na mwanzilishi wa chapa ya Mayshad. Pia ni mwanzilishi wa shirika lisilo la faida la Mayshad linalojiusisha na maendeleo ya vijana na wanawake.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne