Nguruwe
|
Nguruwe mweusi (Hylochoerus meinertzhageni)
|
Uainishaji wa kisayansi
|
Himaya:
|
Animalia (Wanyama)
|
Faila:
|
Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
|
Ngeli:
|
Mamalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
|
Oda:
|
Artiodactyla (Wanyama wanaokanyaga kwa kwato mbili-mbili))
|
Nusuoda:
|
Suina (Wanyama kama nguruwe)
|
Familia:
|
Suidae (Wanyama walio na mnasaba na nguruwe)
|
|
Ngazi za chini
|
Jenasi 6, spishi 19:
|
Kutoka Wikipedia, ensaiklopidia huru
Nguruwe ni wanyama wa familia Suidae. Nguruwe-kaya hufugwa kote duniani. Spishi mbili zinaitwa ngiri.