Niko Kristian Sigur (alizaliwa Septemba 9, 2003) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa kulipwa kutoka Kanada ambaye anacheza kama kiungo mkabaji au beki wa kulia kwa klabu ya Hajduk Split katika Ligi ya mpira wa miguu ya kroatia na timu ya taifa ya Kanada.[1][2][3]