Nikolai Chub

Nikolay Aleksandrovich Chub (alizaliwa 10 Juni 1984) ni mwanaanga aliyechaguliwa na shirika la anga la Roscosmos la Russia mwaka 2012. [1]

  1. "Soyuz MS-17 Crew" (kwa Kirusi). Cosmonautics Magazine. Iliwekwa mnamo 2020-12-05.

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne