North Dakota | |||
| |||
Nchi | ![]() |
||
---|---|---|---|
Mji mkuu | Bismarck | ||
Eneo | |||
- Jumla | 183,112 km² | ||
- Kavu | 178,647 km² | ||
- Maji | 4,465 km² | ||
Tovuti: http://www.nd.gov/ |
North Dakota (Dakota Kaskazini) ni jimbo la Marekani upande wa kaskazini kati ya nchi.
Imepakana na Kanada (Saskatchewan na Manitoba), Minnesota, South Dakota (Dakota Kusini) na Montana.
Jimbo lina wakazi wapatao 641,481 (2008) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 183,272.
Mji mkuu ni Bismarck na mji mkubwa ni Fargo.
Lugha rasmi ni Kiingereza.