Nosimo Balindlela, zamani wa African National Congress, anayeonekana hapa akiwa amevalia nembo ya Congress of the People (COPE).
Nosimo Zisiwe Beauty Balindlela (alizaliwa 28 Novemba1949 huko Hermanus, mkoa wa Cape) [1] ni mwanasiasa wa Afrika Kusini ambaye aliwahi kuwa Waziri mkuu wa Rasi ya mashariki kuanzia tarehe 26 Aprili2004 hadi 1 Agosti 2008.[2]