Octavio Cisneros (alizaliwa 19 Julai 1945) ni askofu wa Kanisa Katoliki mwenye asili ya Kuba na Marekani. Alihudumu kama askofu msaidizi wa Jimbo Katoliki la Brooklyn, New York City, kuanzia mwaka 2006 hadi 2020.[1]
Developed by Nelliwinne