Offenbach am Main | |||
| |||
Mahali pa mji wa Offenbach katika Ujerumani |
|||
Majiranukta: 50°6′0″N 8°46′0″E / 50.10000°N 8.76667°E | |||
Nchi | Ujerumani | ||
---|---|---|---|
Jimbo | Hesse | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 118,770 | ||
Tovuti: www.offenbach.de |
Offenbach am Main au Offenbach ni mji wa Hesse nchini Ujerumani. Iko kando ya mto Main. Idadi ya wakazi wake ni takriban 118,770. Mji ulianzishwa 977. Umbali na Jiji la Frankfurt am Main ni 3 km.