Jimbo | |||
---|---|---|---|
![]() |
![]() |
||
Kauli Mbiu "With God, all things are possible (en) "Kwa Mungu yote yawezekana"(sw) Ever upward |
|||
![]() | |||
Nchi | Marekani | ||
Mwaka wa Kujiunga | March 1, 1803 (ya 17) | ||
Jiji kubwa (na mji mkuu) |
Columbus | ||
Lugha Zinazozungumzwa | Kiingereza 93.3% Kihispania 2.2% |
||
Utaifa | Ohioan (en) | ||
Serikali | |||
Gavana | Mike Dewine (R) | ||
Naibu Gavana | Jim Tressel (R) | ||
Eneo | |||
Jumla | 116,096 km² | ||
Ardhi | 106,156 km² | ||
Idadi ya Watu | |||
Kadirio | ![]()
| ||
Pato la Taifa (2022) | |||
Jumla | ![]() |
||
Kwa kila mtu | ![]() |
||
Kiashiria cha Maendeleo ya Watu (2022) |
0.908 (34) Maendeleo ya Juu Sana |
||
Mapato ya Kati ya Kaya (2023) |
$67,809 (36) | ||
Eneo la saa | UTC– 05:00 (EST) | ||
Tovuti 🔗ohio.gov |
Ohio ni jimbo la kujitawala la Muungano wa Madola ya Amerika au Marekani. Iko katika kaskazini mashariki ya Marekani bara. Imepakana na majimbo ya Pennsylvania, Michigan, Indiana, Kentucky na West Virginia. Upande wa kazkazini ni mpaka wa kimataifa na ng'ambo yake iko jimbo la Ontario katika Kanada. Mipaka asilia ni Ziwa Erie upande wa kazkazini na mto Ohio upande wa mashariki na kusini.
Mji mkuu pia mji mkubwa jimboni ni Columbus. Miji mingine mikubwa ni Cleveland, Cincinnati na Dayton.
Jina la Ohio limetokana na jina la Kiindio kwa mto mkubwa ulio mpaka wa kusini wa jimbo.
Ohio ina eneo la 116,096 km² linalokaliwa na wakazi 11,353,140.
Majimbo ya Marekani |
---|
Alabama • Alaska • Arizona • Arkansas • California • Colorado • Connecticut • Delaware • Florida • Georgia • Hawaii • Idaho • Illinois • Indiana • Iowa • Kansas • Kentucky • Louisiana • Maine • Maryland • Massachusetts • Michigan • Minnesota • Mississippi • Missouri • Montana • Nebraska • Nevada • New Hampshire • New Jersey • New Mexico • New York • North Carolina • North Dakota • Ohio • Oklahoma • Oregon • Pennsylvania • Rhode Island • South Carolina • South Dakota • Tennessee • Texas • Utah • Vermont • Virginia • Washington • West Virginia • Wisconsin • Wyoming |
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ohio kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |