Okwawu United

Nembo ya klabu ya Okwawu United

Okwawu United Stores Nkawkaw ni klabu ya kandanda ya Ghana liliokuwa na makao yao Nkawkaw. Klabu hiyo inashiriki katika Ligi Kuu ya Telecom ya Ghana. Uwanja wao wa kinyumbani ni Nkawkaw Park.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne