Omari Kungubaya | |
---|---|
![]() | |
Taarifa za awali | |
Jina la kuzaliwa | Omari Kungubaya |
Amezaliwa | 1939 Mgaza Vigolegole, Morogoro Tanzania |
Amekufa | 20 Oktoba, 2016 Njeteni, Mbezi ya Kimara, Dar es Salaam, Tanzania |
Kazi yake | Mwimbaji, mtunzi, mpiga gitaa |
Miaka ya kazi | 1955-2016 |
Ameshirikiana na | Cuban Marimba |
Mzee Omari Kungubaya (1939 - 20 Oktoba 2016) alikuwa mwanamuziki maarufu wa muziki wa dansi kutoka nchini Tanzania. Alifahamika zaidi kwa kuwa mtunzi wa wimbo wa kipindi cha salam za wagonjwa katika redio ya taifa ya Tanzania (RTD).