Oto wa Ariano (Roma, Italia, 1040 - 23 Machi, 1127) alikuwa mmonaki Mbenedikto halafu mkaapweke kutoka familia tajiri, ambaye alishika toba baada ya kuwa askari katika ujana wake[1].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Sikukuu yake inaadhimishwa kila tarehe 23 Machi[2][3].