Palermo | |
Mahali pa mji wa Palermo katika Italia |
|
Majiranukta: 38°07′0″N 13°22′0″E / 38.11667°N 13.36667°E | |
Nchi | Italia |
---|---|
Mkoa | Sisilia |
Wilaya | Palermo |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 657,935 |
Tovuti: www.comune.palermo.it |
Palermo ni mji wa Italia katika mkoa wa Sisilia. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 660,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo mita 14 juu ya usawa wa bahari.