Papa Sixtus IV, O.F.M. (21 Julai 1414 – 12 Agosti 1484) alikuwa Papa kuanzia tarehe 1/9/25 Agosti 1471 hadi kifo chake[1]. Alitokea Celle, Savona, Italia[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Francesco della Rovere.
Alimfuata Papa Paulo II akafuatwa na Papa Inosenti VIII.
Developed by Nelliwinne