![]() | |
---|---|
![]() | |
Jina la (IUPAC) | |
(1R,3R,7E,17β)-17-[(1R,2E,4S)-5-hydroxy-1,4,5-trimethylhex-2-en-1-yl]-9,10-secoestra-5,7-diene-1,3-diol | |
Data ya kikliniki | |
Majina ya kibiashara | Zemplar |
AHFS/Drugs.com | Monograph |
MedlinePlus | a682335 |
Kategoria ya ujauzito | C(AU) C(US) |
Hali ya kisheria | Prescription Only (S4) (AU) ℞-only (CA) POM (UK) ℞-only (US) |
Njia mbalimbali za matumizi | Kwa mdomo, kwa mishipa |
Data ya utendakazi | |
Uingiaji katika mzunguko wa mwili | 72%[1] |
Kufunga kwa protini | 99.8%[1] |
Kimetaboliki | Katika ini[1] |
Nusu uhai | Masaa 14-20 [1] |
Utoaji wa uchafu | Kinyesi (74%), mkojo (16%)[1] |
Vitambulisho | |
Nambari ya ATC | ? |
Visawe | 19-nor-1,25-(OH)2-vitamini D2 |
Data ya kikemikali | |
Fomyula | C27H44O3 |
| |
![]() |
Paricalcitol, inayouzwa kwa jina la biashara la Zemplar, ni dawa inayotumika kuzuia na kutibu shida ya tezi parathyroidi (hyperparathyroidism) kutokana na ugonjwa sugu wa figo.[2] Inachukuliwa kwa mdomo.[2]
Madhara yake ya kawaida ni pamoja na kuhara, athari za mzio, kichefuchefu, maumivu ya kichwa na shida ya kulala.[3] Madhara yake mengine yanaweza kujumuisha sumu ya juu ya kalsiamu na alumini.[3] Kuna wasiwasi juu ya matumizi yake katika ujauzito.[2] Ni aina ya calcitriol, aina hai ya vitamini D.[3]
Paricalcitol ilipewa na hati miliki katika mwaka wa 1989 na kuidhinishwa kwa ajili ya matumizi ya kimatibabu mwaka wa 1998.[4] Dawa hii inapatikana kama dawa ya kawaida.[3] Nchini Uingereza, dozi 28 za mikrogramu 1 ziligharimu Huduma ya Kitaifa ya Afya (NHS) takriban £70 kufikia mwaka wa 2021.[2] Kiasi hiki nchini Marekani ni takriban dola 100 za Marekani.[5]
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)