Paride wa Teano (alifariki 346) alikuwa askofu wa kwanza wa mji huo, leo nchini Italia[1][2].
Inasemekana alitokea Ugiriki.
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 5 Agosti[3].
Developed by Nelliwinne