Patna ni jiji la Jimbo la Bihar nchini Uhindi lenye wakazi milioni 1.7 (2011). Ni makao makuu ya jimbo na mji mkubwa wa kumi na tisa nchini Uhindi.
Developed by Nelliwinne