Pauline Julien

Pauline Julien (amezaliwa 23 Machi, 1928 - amefariki 1 Oktoba, 1998), aliyetajwa kwa jina la "La Renarde",[1]alikuwa mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mwigizaji, mhamasishaji wa ukombozi wa wanawake na mfuasi wa uhuru wa Quebec.[2] [3]

  1. "La Renarde, sur les traces de Pauline Julien»: Repayser les dépaysés". 9 Juni 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "LA RENARDE, SUR LES TRACES DE PAULINE JULIEN / Au Théâtre Outremont le 21 février – l'Initiative". 3 Februari 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Pauline Julien". The Canadian Encyclopedia.

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne