Pembetatu mraba ni aina ya pekee ya pembetatu yenye pembe moja ya nyuzi 90°. Pembe mbili nyingine zina jumla ya nyuzi 90°.
Pande zina majina maalumu kutokana na kawaida ya wanahisabati ya Ugiriki wa Kale.
Tabia za pembetatu mraba yenye hipotenusi c | ||
---|---|---|
Majina ya pande | ||
majina ya pembe | ||
kimo | ||
eneo | ||
mzingo |
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Pembetatu mraba kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |