Petro IV wa Aleksandria

Petro IV wa Aleksandria (alifariki 18 Juni 576) kuanzia mwaka 567 hadi kifo chake alikuwa Patriarki wa Aleksandria (Misri) na Papa wa 34 wa Kanisa la Kikopti ambalo linamheshimu kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne