Pico de Orizaba

Pico de Orizaba

Pico de Orizaba au Citlatépetl ni mlima mrefu zaidi wa Meksiko katika Amerika ya Kaskazini. Una asili ya volikano.

Una kimo cha mita 5,610 juu ya UB.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne