Piazza dei Miracoli, yaani Uwanda wa Miujiza, kivutio kikubwa cha utalii. Kanisa kuu linazungukwa na batizio na mnara ulioinama.
ramani ya mji wa Pisa
Pisa ni mji maarufu wa mkoa wa Toscana, Italia wenye wakazi 88,880 (31-12-2018).
Sehemu ya mji imo katika orodha ya urithi wa dunia wa UNESCO.