Pixel 8a

Pixel 8a

Pixel 8a ni simu janja ya Android iliyobuniwa, kuendelezwa, na kuuzwa na Google kama sehemu ya mfululizo wa Google Pixel. Simu hii ni toleo la kati katika familia ya Pixel 8, ikishabihiana kwa muundo na matoleo mengine ya Pixel 8 lakini ikitofautiana kwa visor ya kamera nyembamba na kifuniko cha nyuma kinachoweza kutenganishwa. Pixel 8a ina sifa na uwezo sawa na Pixel 8, huku ikilenga zaidi zana za AI zinazokuja nayo[1][2][3][4][5].

  1. Villas-Boas, Antonio (Mei 7, 2024). Lynch, John (mhr.). "Google reveals the Pixel 8a, an affordable phone with flagship performance and cameras — here's how to order". Business Insider. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Mei 7, 2024. Iliwekwa mnamo Mei 14, 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Philip, Michaels (7 Mei 2024). "Google Pixel 8a arrives — price, specs and AI features". Tom's Guide.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Mariyan, Slavov (7 Mei 2024). "Google Pixel 8a: release date, pricing, features and specs". Phone Arena.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Google announces Pixel 8a, starts at $499". GSMArena. 7 Mei 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. Scott, Brown (7 Mei 2024). "Google Pixel 8a is here: Release date, specs, price, and everything you need to know". Android Authority.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne