Portland Tribune | |
---|---|
Jina la gazeti | Portland Tribune |
Lilianzishwa | 2001 |
Nchi | Marekani |
Mhariri | Mark Garber |
Mmiliki | Kundi la Pamplin Media |
Mchapishaji | Steve Clark |
Makao Makuu ya kampuni | 6605 S.E. Lake Road Portland, Oregon 97222-2161 |
Nakala zinazosambazwa | 120,000 |
Tovuti | Tovuti Rasmi ya Portland Tribune |
Portland Tribune ni gazeti la kuchapishwa kila wiki linalochapishwa kila Alhamisi katika eneo la Portland,Oregon,Marekani.
Portland Tribune ni kipande cha Kundi la Pamplin Media, linalochapisha magazeti kadhaa ya kijamii katika eneo la Portland na ,pia, humiliki na huendesha stesheni ya redio ya majadiliano ya KPAM pamoja na stesheni zingine za redio katika eneo la Kaskazini Mashariki mwa Pacific.