Prishtina

Mji wa Prishtina






Priština

Nembo
Majiranukta: 42°39′52″N 21°09′54″E / 42.66444°N 21.16500°E / 42.66444; 21.16500
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 211,129

Priština ni mji mkuu wa Kosovo ambayo kwa wenyeji wengi na kwa nchi mbalimbali kwa sasa ni jamhuri huru.

Serbia na nchi nyingine kadhaa zinaouona mji huo kuwa makao makuu ya jimbo la kujitegemea la Kosovo ndani ya Serbia.

Idadi ya wakazi wake ni takriban 211,129.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne