| |||||
Kaulimbiu ya taifa: Kilatini: Joannes Est Nomen Eius; Kihispania: Juan es su nombre ("Jina lake ni Yohane ") | |||||
Wimbo wa taifa: La Borinqueña | |||||
![]() | |||||
Mji mkuu | San Juan | ||||
Mji mkubwa nchini | San Juan | ||||
Lugha rasmi | Kihispania, Kiingereza | ||||
Serikali | demokrasia Pedro Pierluisi | ||||
Uhuru established_dates = area = 9,104 |
{{{established_dates}}} | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
{{{area}}} km² (ya 169) 1.6 | ||||
Idadi ya watu - Julai 2020 kadirio - 2020 sensa - Msongamano wa watu |
3,285,874 (ya 130) 3,285,874 350.8/km² (ya 29) | ||||
Fedha | Dollar ya Marekani (USD )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
AST (UTC-4) No DST (UTC-4) | ||||
Intaneti TLD | .pr | ||||
Kodi ya simu | +1-787 and +1-939
- |
Puerto Rico ni nchi katika Bahari ya Karibi ambayo ni eneo la kushirikishwa la Marekani katika visiwa vya Antili Kubwa.
Iko upande wa mashariki wa Jamhuri ya Dominika na upande wa magharibi ya Visiwa vya Virgin.
Funguvisiwa la Puerto Rico linajumuisha kisiwa kikuu cha Puerto Rico pamoja na visiwa vidogo kama vile Mona, Vieques, Monito, Desecheo, Caja de Muertos, Pajaros, Icacos, Palominos, Palominitos, Culebrita, na Culebra.
Jina la Puerto Rico kwa Kihispania humaanisha "bandari tajiri".
Puerto Rico ina katiba yake na matawi yake ya kisheria, mtendaji na mahakama. Uhusiano na Marekani ni kupitia uraia wa pamoja, sarafu na ulinzi.