Raymond E. Goedert

Raymond Emil Goedert (15 Oktoba 19279 Desemba 2023) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki nchini Marekani.

Alihudumu kama askofu msaidizi wa Jimbo Kuu la Chicago, Illinois, kutoka mwaka 1991 hadi 2003.[1]

  1. Andone, Dakin; Baldacci, Marlena (2018-09-08). "Chicago bishop who didn't report child abuse allegations to police is living on archdiocese property". CNN (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-12-06.

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne