![]() | Makala haina vyanzo vya kutosha
Makala (au sehemu ifuatayo ya makala) inatoa habari bila kuonyesha vyanzo au uthibitisho wowote.
|
Razia Sajjad Zaheer (15 Oktoba 1918 – 18 Desemba 1979) alikuwa mwandishi wa lugha ya Urdu kutoka India, mtandazaji, na mshiriki mashuhuri wa Jumuiya ya Waandishi wa Maendeleo. Aliweza kushinda Tuzo ya Sahitya Akademi ya Uttar Pradesh pamoja na Tuzo ya Soviet Land Nehru.