Reiko Aylesworth | |
---|---|
Amezaliwa | Reiko Aylesworth 9 Desemba 1972 Evanston, Illinois, Marekani |
Miaka ya kazi | 1993–Hadi leo |
Reiko Aylesworth (alizaliwa Evanston, Illinois, 9 Desemba 1972)[1] ni mwigizaji wa filamu na tamthilia kutoka Marekani.
Anafahamika zaidi kwa kazi zake za mfululizo wa televisheni maarufu kama 24. Katika 24, alicheza kama Michelle Dessler.
born in the same [Evanston] hospital as Reiko Aylesworth
{{cite web}}
: Italic or bold markup not allowed in: |publisher=
(help)