Rejista

Rejista (pia rejesta au sajili) ni matumizi ya lugha kulingana na muktadha maalum. Miktadha tofauti husababisha aina (kaida) mbalimbali za lugha.

Baadhi ya vipengele vya miktadha hiyo ni:

  1. Mada
  2. Mazingira
  3. Wakati
  4. Umri
  5. Cheo
  6. Jinsia
  7. Uhusiano baina ya wahusika
  8. Taaluma
  9. Kiwango cha elimu
  10. Lugha anazozijua mtu
  11. Tofauti ya kimatamshi
  12. Ujuzi wa lugha

Mifano ya rejista za lugha ni:


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne